KUNDO MATHEW ASHIRIKI USIMIKWAJI WA ASKOF MPYA JIMBO LA BARIADI








Naibu Waziri wa Maji, mhe. Mhandisi Kundo Andrea Mathew, Mbunge wa Jimbo la Bariadi Mjini ameshiriki kwenye Sherehe za Uzinduzi wa jimbo jipya na usimikwaji wa Askofu wa Kwanza wa jimbo katoliki la Bariadi, Mhashamu Prosper Baltazar Lyimo, alhamis 19, Machi, 2026.

Aidha, Mhe. Kundo amemshukru  Papa Leo XIV kwa kukubali Kuanzisha kwa jimbo jipya  katoliki Bariadi na kumsimika Askofu wa Kwanza wa jimbo katoliki la Bariadi, Mhashamu Prosper Baltazar Lyimo kwa lengo la kusogeza huduma za kiroho kwa wananchi wa Mkoa wa Simiyu na kuleta mwanga wa Imani, tumaini na upendo kwa wote

Powered by Blogger.