DAKTARI KOROTINI KWA KUCHUKUA MSHARA HEWA.
Na
Mwandishi wa MAKALIBLOG; SERENGETI.
Tasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa Takukuru
Mkoani Mara imemfikisha ktika Mahakama ya wilaya Serengeti Marry Noah Johnson
mwenye umri wa miaka 32 kwa kujipatia mishara ya serikali wakati akifanya kazi
katika Hospitali binafsi.
Awali Johnson alikuwa mwajiriwa wa Halmashauri ya
Serengeti huku kituo chake cha kazi
kikiwa hospitali teule ya DDH iliyoko Serengetiambapo aliacha kazi katika
hospitali hiyo na kuajiriwa na Hospital binafsi ya( Itha-Asheria charitable
Hospital) ilyoko mjini Arusha.
Johson kwa makusudi ambapo amendelea kuchuka
mshahara wa serikali huku akijua kuwa amekwisha acha kazi nahivyo kuisababihia
serikali hasara ya shilingi million mbili laki tatu hamsini na tisa elf na
mianne.
Pia kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba ECC 56/2017 ilifikishwa
mahakamani hapo na mwendesha mashitaka wa Takukuru Marshal Mseja ambapo kesi
hiyo iko mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakam hiyo Mheshimiwa Ismail Ngaile.
mshitakiwa
Marry Johnson alikana mashitaka hayo,huku akishindwa kutimiza masharti ya
dhamana ,mahakama ilimtaka awe na mdhamini mmoja ambaye atasini bodi ya million
mbili nanusu yakutimiza shart hilo ambapo lilipelekea apelekwe mahabusu hadi
hadi kesi hiyo itakapo tajwa tena may31,2017.
Aidha mkuu
wa Takukuru mkoani mara Bwana Holle MakunguAMEWAONYA watumishi wa serikali
wnapoamua kuacha kazi serikalni nibaasi wasiwe na tama ya kuchukua mishahara
kwa kufanya hivyo nikukiukamadili ya umma na hatuakali zitachukuliwa dhidi yake.
TUTUMIE MAONI YAKO LAKINI PIA UNAWEZA KUTANGAZA NA MAKALIBLOG@.
KWA KUPIGA NAMBA HII 0754295996,0789524987.
MATUSI
HAPANA.