DAKTARI KOROTINI KWA KUCHUKUA MSHARA HEWA.;


 
Na Mwandishi wa MAKALIBLOG; SERENGETI, MARA.
;Takukuru mkoani mara imemfikisha mahakamani Bi marry Noah johson kwakupokea Mshara hewa.
Tasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa Takukuru Mkoani Mara imemfikisha ktika Mahakama ya wilaya Serengeti Marry Noah Johnson mwenye umri wa miaka 32 kwa kujipatia mishara ya serikali wakati akifanya kazi katika Hospitali binafsi.
Awali Johnson alikuwa mwajiriwa wa Halmashauri ya Serengeti  huku kituo chake cha kazi kikiwa hospitali teule ya DDH iliyoko Serengetiambapo aliacha kazi katika hospitali hiyo na kuajiriwa na Hospital binafsi ya( Itha-Asheria charitable Hospital) ilyoko mjini Arusha.
Johson kwa makusudi ambapo amendelea kuchuka mshahara wa serikali huku akijua kuwa amekwisha acha kazi nahivyo kuisababihia serikali hasara ya shilingi million mbili laki tatu hamsini na tisa elf na mianne.
Pia kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba ECC 56/2017 ilifikishwa mahakamani hapo na mwendesha mashitaka wa Takukuru Marshal Mseja ambapo kesi hiyo iko mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakam hiyo Mheshimiwa Ismail Ngaile.
 mshitakiwa Marry Johnson alikana mashitaka hayo,huku akishindwa kutimiza masharti ya dhamana ,mahakama ilimtaka awe na mdhamini mmoja ambaye atasini bodi ya million mbili nanusu yakutimiza shart hilo ambapo lilipelekea apelekwe mahabusu hadi hadi kesi hiyo itakapo tajwa tena may31,2017.
Aidha  mkuu wa Takukuru mkoani mara Bwana Holle MakunguAMEWAONYA watumishi wa serikali wnapoamua kuacha kazi serikalni nibaasi wasiwe na tama ya kuchukua mishahara kwa kufanya hivyo nikukiukamadili ya umma na hatuakali zitachukuliwa dhidi yake.
TUTUMIE MAONI YAKO LAKINI PIA UNAWEZA KUTANGAZA NA MAKALIBLOG@.
KWA KUPIGA NAMBA HII 0754295996,0789524987.
                                            MATUSI  HAPANA.
Powered by Blogger.