2016-01-10-1452455825-8283801-JohnMagufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Rais Dkt. John Pombe Magufuli awataka viongozi Wote walioalikwa kuhudhuria kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa kutokuhudhuria maadhimisho hayo na badala yake watafute namna ya kuadhimisha katika maeneo yao huku lengo nikupungua matumizi ya Serikali.

Rais Magufuli ameagiza wale wote waliopewa posho na nauli za safari warejeshe mara moja fedha hizo. (Soma zaidi hapa katika taarifa ya Ikulu)
 Rais Magufuli apiga marufuku mwenge
Taarifa ya Ikulu