Manispaa ya Iringa yapigwa tafu na kampuni ya mawasiliano Tigo.
Mkuu wa wilaya ya Iringa, Richard
Kasesela akipokea madawati 85 kwa manispaa ya wilaya ya Iringa toka kwa
Meneja wa Mauzo wa TIGO mkoa wa Iringa, Samwel Chamai kwenye hafla
iliyofanyika ofisi za wilaya juzi.
Mkuu wa wilaya ya Iringa, Richard
Kasesela akiwa katika picha ya pamoja na meneja wa mauzo ya tigo mkoa
wa iringa Samwel Chamai na wanafunzi wa manispaa ya Iringa.
Wanafunzi wa shule za Manispaa ya Iringa wakishuhuhudaia makabidhiano ya madawati 85 toka kwa kamppuni ya simu Tigo.