MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI,KITAIFA MKOANI SHINYANGA

 
 
Hapa ni katika ukumbi wa mikutano katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga ambako leo Jumanne,Oktoba 11,2016 kunafanyika Kongamano la Siku ya Kimataifa ya mtoto wa kike,ambapo kitaifa yanafanyika mkoani Shinyanga.Mgeni rasmi ni mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Ally Mwalimu.




Katibu tawala wa mkoa wa Shinyanga Albert Msovela akitambulisha wageni mbalimbali



Mkuu wa wilaya ya Kishapu Nyabaganga Talaba akimkaribisha mgeni rasmi



Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto


Mkuu wa mkoa wa Shinyanga akizungumza

Mkuu wa mkoa akizungumza


Kulia ni mkuu wa wilaya ya Kishapu Nyabaganga Talaba,kushoto ni naibu meya wa manispaa ya Shinyanga Agnes Machiya
Alhaji Ibrahim akichangia hoja katika kongamano hilo


Katibu tawala wa mkoa wa Shinyanga akiteta jambo na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack,kulia ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Erasto Kwilasa


Kushoto ni mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mheshimiwa Azza Hilal,akifuatiwa na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kishapu,Boniface Butondo na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Ngassa Mboje wakiwa ukumbini



Wajumbe wakiwa ukumbini


Wakurugenzi wa halmashauri za wilaya wakiwa ukumbini



Kongamano linaendelea







































Powered by Blogger.