ANGALIA PICHA ZA MATUKIO MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA ATOA SIKU20 KWA KAMPUNI YA UCHIMBAJI DHAHABU NYAMONGO KULIPA WANACHI FIDIA

 


MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIOUS LUOGA AKIWAONESHA WANANCHI RIPOTI AMBAYO ILIAZIMIWA NA KAMATI AMBAYO ILIUNDWA NA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF SOSPITER MUHONGO ILI KUMALIZA MATATIZO YA NYAMONGO IKIWEMO FIDIA ILI KUPISHA SHUGHULI ZA MGODI 
MKUU WA WILAYA AKISAINI KITABU CHA WAGENI KABLA YA MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA KIJIJI CHA NYAKUNGURU  NYAMONGO.
WANANCHI WAKISIKILIZA KWA MAKINI MKUU WA WILAYA LUOGA
MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKISALIMIANA NA MENEJA MGODI WA UCHIMBAJI WA DHAHABU ACACIA  NYAMONGO SAM ROSLER HI LEO KATIKA MKUTANO WA HADHARA AMBAPO MKUU WA WILAYA HUYO AMETOA SIKU 20 MGODI HUO KUHAKIKISHA UNALIPA WANACHI FIDIA ILI KUPISHA SHUGHULI ZA MGODI
DIWANI WA KATA YA KIBASUKA ROYCE MANYATA AKIONGEA NA WANANCHI WA NYAKUNGURU KATIKA MKUTANO UO
KATIBU WA MBUNGE  MRIMI ZABRON KWA NIABA YA MBUNGE JIMBO LA TARIME VIJIJINI JOHN HECHE AKIONGEA NA WANANCHI

MKUU WA WILAYA AKISOMA BAADHI YA BARUA ZA MAELEKEZO MBELE YA WANACHI

WA KWANZA KUSHOTO NI MENEJA MGODI WA ACACIA NYAMONGO SAM ROESLER
MENEJA MGODI WA ACACIA NYAMONGO SAM ROESLER AKIONGEA NA WANANCI WAKAZI WA KIJIJI CHA NYAKUNGURU WILAYANI TARIME MKOANI MARA.
Powered by Blogger.