FORODHAN CARGO WATOA MSAADA WA MADAWATI 20.
MKUU WA WILAYA YA TARIME AKIKABIDHI RASMI MADAWATI 20 KWA DIWANI WA KATA YA SIRARI PAUL NYANGOKO BAADA YA KUPOKEA KUTOKA KIKUNDI CHA WABEBA MIZIGO FORODHN CARDO SIRARI KAMA NI MOJA YA KUUNGA JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KUMALIZA CHANGAMOTO YA MADAWATI SHULE ZA MSINGI
MWENYEKITI WA KIKUNDI CHA FORODHAN CARGO AMOS CHRISTOPHER AKIKABIDHI RISALA KWA MKUU WA WILAYA YA TARIME BAADA YA KUISOMA |
DIWANI WA KATA YA SIARARI PAUL NYANGOKO AKITOA SHUKRANI |
MKUU WA WILAYA AKIONGEA NA WANAKIKUNDI BAADA YA KUSOMEWA RISALA |
PICHA YA PAMOJA |