KAMISHINA WA POLIS CP MKAMA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA HIFADHI YA SERENGETI
Kamishina wa Polisi Jamii CP Alex Mkama amekutana ma kufanya mazungumzo na Mkuu wa hifadhi ya Taifa ya Serengeti Mkoani Mara ACC Isimail Isimail ambapo aliambatana na Mkaguzi Msaidizi Emmanuel Kisiri ambaye ni Mkaguzi kata wa Kata ya Ikoma kwa lengo la kuimarisha mahusiano na ushirikiano katika kutekeleza Mradi wa Polisi Jamii "Utalii Salama"
Kwa upande ACC Isimail ambaye ni mkuu wa Hifadhi alisema hifadhi ya Taifa ni Salama na hayo ni matokeo ya ushirikiano mzuri uliopo kati ya wa wadau wa utalii likiwemo Jeshi la Polisi
.jpeg)
