Waziri wa Nishati Kaleman alivyo fanya zaiara Mkoani Mara akiambatana na RC Malima. picha zote nimekuwekea;
Waziri wa Nishati Medard Kaleman akiongea na Wananchi wa kijiji cha Lorwe kata ya Kinyenche katika ziara yake ya kukagua Mradi wa Umeme wa REA.
Waziri wa Nishati Medard Kaleman akisalimiana naWanachi Wilayani Rorya Mkoani Mara katika Ziara yake ya kukagua Mradi wa Umeme wa REA hii leo katika Wilaya za Bunda, Tarime na Rorya.
Waziri wa Nishati Medard Kaleman akisalimiana na Wakazi wa Mika Wilayani Rorya Mkoani Mara.
Mbunge wa Jimbo la Rorya Lameck Airo akisalimiana na Wakazi wa Mika.
Mkuu wa Wilaya ya Rorya Simon Chacha akisalimiana na wakazi wa Lorwe kata ya Kinyenche katika ziara ya waziri wa Nishati wilayani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akisalimiana na wakazi wa Lorwe wilayani Rorya
Mbunge wa Jimbo la Rorya Lameck Airo akimweleza jambo Waziri wa Nishati Medard Kaleman.
Wananchi wa kijiji cha Lorwe kata ya Kinyenche wakimsikiliza Waziri wa Nishati.
Waziri wa Nishati Medard Kalem akitoa msisitizo kwa wakandarasi wa utelezaji wa Mradi wa REA kumaliza Mapema Mradi huo kulia ni Kazimoto Masungu kutoka kampuni ya Derm Elecric Ltd na katikati ni Neelesh Kumar kutoka kampuni ya Angelique Internatinal Ltd.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akiteta jambo na Waziri wa Nishati Medard.
Shukrani Sana.
Wananchi wa Kijiji cha Bubombi Kata ya Bukura wakiongea na Waziri
Wananchi wa Kijiji cha Bubombi wakiwasilisha Kero zao kwa Waziri.
Waziri alipotembelea kituo cha Forodha Kirongwe Wilayani Rorya.
Waziri akielekea Mpakani mwa Nchi ya Tanzania na Kenya upande wa Rorya
Nchi ya Kenya ni Kule kuna Umeme lakini hapa Kata ya Bukura Tanzania hakuna Umeme Diwani wa kata ya Bukura akionyesha jinsi Kenya walivyo na Umeme.
Vijiji vya Kenya kwa Mbali.
Wakiangalia Nchi ya Kenya.
Wananchi wa kijiji cha Kirongwe kata ya Bukura wakitoa Kero zao.
Wananchi wakizungumzia Kero ya Umeme pamoja na Uvuvi
Mbunge wa Jimbo la Rorya Lameck Airo akiongea na wanachi wake
Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akiongea na Wanachi Wilayni Rorya.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akisisitiza jambo.
Wananchi wa Kijiji cha Kirongwe Kata ya Bukura Wilayani Rorya Mkoani Mara.
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akimpokea waziri wa Nishati Medard Kaleman katika Mpaka wa Tanzania na Kenya ambao upo kijiji cha Nyamohonda kata ya Mwema Wilayani Tarime.
Majengo ya upande wa Kenya.
Waziri wa Nishati Medard akiwa upande wa Tanzania katika Mpaka wa Tanzania na Kenye Mkuu wa Mkoa Kulia akiwa upande wa Kenya katika Mpaka huo uliopo Kijiji cha Nyamohonda kata ya Mwema.
Mkuu wa Mkoa huku nilipo ni upande wa Kenya.