SAMWELI KIBOYE HUYOOOO MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MARA



Samwel Kiboye NO3 baada ya kutangazwa akiwa amekumbatia Mbunge wa Jimbo la Rorya Lameck Airo.

 Samweli Kiboye No3 akitoa Shukrani zake baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa
CCM Mkoa wa Mara kwa kura 457 huku akifuatiwa na Thobias Raya Kura 429.


Viongozi wa Dini katika Chaguzi hizo zilizofanyika katika Viwanja vya CCM Mjini Musoma Mkoa wa Mara.




Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Mara Hamphrey Polepole ambaye ni Katibu Itikadi na Uenezi CCM.

Baadhi ya Wagombea.


Wajumbe.

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga katikati akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Tarime Marwa Daud Ngicho.

 mmoja wa wagombea Wenyekiti CCM Mkoa wa Mara na kushika nafasi ya
pili kwa kura 429 Thobias Raya akionesha tabasamu kabla ya kura kupigwa.
 msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara Hamphrey Polepole
ambaye ni Katibu Itikadi na Uenezi CCM akitoa maelekezo muhimu katika
chaguzi hizo.


Wagomgombea Wenyekiti CCM Mkoa wa Mara kutoka kulia wa kwanza ni Samwel Kiboye NO3
akifuatia Thobias Raya na kwanza kushoto ni Dr Chirangi wakisubiri
kuomba kura kwa Wajumbe.

Wagombea wakiomba kura

Wagombea wakiomba kura.

Wanapiga kura


Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akipiga kura katika chaguzi hizo.

Msimamizi
Mkuu wa Uchaguzi wa Mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Mara Hamphrey Polepole
ambaye ni Katibu Itikadi na Uenezi CCM akitangaza rasmi matokeo ya
uchaguzi huo.

Shangwe baada ya matokeo kutangazwa.

Christopher Gachuma baada ya kuchaguliwa kuwa MNEC akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima.

Christopher Gachuma baada ya kuchaguliwa kuwa MNEC akiongea na kutoa shukrani zake kwa wapiga kura

Msimamizi
Mkuu wa Uchaguzi wa Mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Mara Hamphrey Polepole
ambaye ni Katibu Itikadi na Uenezi CCM akimpongeza Mwenyekiti wa Mkoa wa
Mara Samwel Kiboye.




PICHA NA CLEO

Samwel Kiboye No3 akitoa Shukrani zake baada ya
kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara kwa kura 457 huku
akifuatiwa na Thobias Raya Kura 429.
Powered by Blogger.