KENYA: ASKARI POLISI AUA KISHA KUJIUA NAYEYE PIA.


KENYA: Askari Polisi amemuua mkewe kwa risasi kichwani na kisha kujiua mwenyewe mbele ya mtoto wao ambaye anadaiwa kusikika akilia kwa sauti “Baba anamuua Mama.” .
Mashuhuda wamesema walisikia kelele za watu wakilumbana, na walipokuwa wakikimbilia kujua kulikoni walisikia milio ya risasi na kisha kukawa na ukimya.
OCPD wa Nakuru Joshua Omukatta amesema wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo, huku miili ya marehemu wote ikiwa imepelekwa katika Hospitali ya Serikali ya Nakuru.
Powered by Blogger.