PLAN INTERNATIONAL KWA USHIRIKIAO A CDF WAZINDUA MRADI KUPINGA UKEKETAJI NDOA ZA UTOTOI MKOA WA MARA NA GEITA AWAMU YA PILI;
Emma Mashobe Meneja Mradi wa kupinga Ukeketaji na Ndoa za Utotoni akifafanua juu ya Mradi awamu ya pili ulizinduliwa na Mkuu wa wilaya ya Tarime Luoga. |
Devotha Albinus Afisa Mradi wa kupinga Ndoa za utotoni Shirika la NELICO Mkoa wa Geita |
Shaban Shaban Mratibu wa Mradi wa Kupinga Ukeketaji na Ndoa za utotoni Shirika la Plan International Wilayani Tarime mkoani Mara. |
Baraka Mgohamwende kutoka shirika la Plan Internationali Mkoa wa Mwanza akizungungumzia juu ya Mradi huo. |
Kambibi Kamugisha kutoka shirika la Jukwaa la utu wa Mtoto CDF Tarime |
Restuta Mpate kutoka shirika la CDF |
OCD Sirari |
Mradi ukizinduliwa rasmi |
Mkuu wa wilaya ya Tarime Luoga akitazama kitabu chenye ujumbe juu ya masualaya kupiga vita ukeketaji na Ndoa za Utotoni. |
OCD Nyamwaga Mourice Okinda akikabidhiwa kitabu hicho |
OCD Sirari akikabidhiwa kitabu hicho |
Watendaji wa kata Tano za Mradi wakikabidhiwa vitabu hivyo. |
Afisa Elimu Sekondari Wilaya ya Tarime akikabidhiwa kitabu hicho |
Afisa maendeleo ya Jamii wilaya ya Tarime akikabidhiwa kitabu hicho |
Mwakilishi wa jeshi la polisi akikabidhiwa kitabu hicho |
Hakimu Mkazi Mahakama ya Mwanzo Nyamwigura Bhoke Kubyo akikabidhiwa kitabu hicho |
Picha ya pamoja |