katikati ni mkuu wamkoa wa DKT Charles mlingwa akiwa na wajumbe katika picha ya pamoja mara baada ya hotuba yake kukamilika .
majadiliano na story Baada ya kazi kubwa ya uzinduzi kutoka kwa mkuu wa mkao.
mkuu wa wilaya ya Musoma Vicent naahano akibadirishana mawili matatu na mjume mwenzake.