CDF TARIME WATOA MAFUNZO YA UONGOZI KWA VIJANA KUTOKA KATA NANE.



Afisa Msaidizi wa Mradi CDF Janeth Epaphra akieleleza umhimu wa uongozi pamoja na madhara ya ukeketaji kwa vijana hao katika ukumbi wa MCN Hotel Mjini Tarime.

Somo linaendelea



Afisa Msaidizi wa Mradi CDF Janeth Epaphra akieleleza umhimu wa uongozi pamoja na madhara ya ukeketaji kwa vijana hao katika ukumbi wa MCN Hotel Mjini Tarime.

Tunaandika kile tulichojifunza


Kambibi Kamugisha kutoka CDF akisisitiza jambo katika mafunzo hayo




Wakifanya Mahojiano na CLEO24 NEWS

washiriki wakijibu Maswali ya makundi




Mafunzo ya uongozi yametolewa kwa vijana kutoka kata za Nkende, Turwa, Nyamisangura, Bomani, Susuni, Mwema, Matongo, Manga, kwa wanafunzi na vijana ambao wako nje ya shule ili kuendelea kuwa mabalozi wazuri kupitia vikundi pamoja na Klabu za Wanafunzi katika  kutoa Elimu juu ya Madhara ya ukeketaji, Ndoa za Utotoni,pamoja na Mimba za utotoni mafunzo hayo yameandaliwa na shirika lisilokuwa la kiserikali Jukwaa la Utu wa Mtoto (CDF) Tarime.

Picha ya pamoja

Powered by Blogger.