ASKOFU Gwajima Amshauri Rais Magufuli Pa kumpeleka Makonda




Gwajima Kuhusu Makonda leo kwenye Ibada ya Ijumapili ya April 9, 2017: "kwanza huwa najiuliza Rais Magufuli akimtoa Leo Makonda, atampeleka wap? Ila ninaushauri mmoja, ampeleke kwenye Balozi zetu nje ya nchi, akimtoa na kumuacha hapa hapa watu watamgawana,


...Akiendelea kumuacha ipo siku atafanya vitu vya kuaibisha na vya ajabu, kwanza  Mimi ningekuwa Makonda ningekuwa nimeshaondoka siku nyingi,


Na hayo Mambo ya Ajabu yatakuja kutokea bado niko hai"

Hata hivyo Gwajima amesisitiza kuwa ataendelea kuzugumzia sakata la vyeti kuhusu Makonda nauacha haya Mengine mengine
Powered by Blogger.