ZAIDI YA WANAFUNZI 600 WAPATA MAFUNZO KUTOKA KWA CWCA, KUHUSIANA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI;



SHIRIKA LA CWCA MUSOMA MKOANI MARA WAMETOA MAFUNZO DHIDI YA MAAMBUKI YA UKIMWI MASHULENI IKIWA LENGO NIKUONDOA MAMBUKIZ MASHULENI LAKINI PIA KUFIKISHA ELIMU IPASAVYO KATIKA JAMIII KUPITIA WANAFUNZI HAO AMBAPO ZAIDI YA WANAFUNZI 600 WAMEPEWA MAFUNZO HAYO.

YAMESHIRIKISHA DAWATI LA JINSIA ILI WANAFUNZI KUJUA NIWAPI MTU ANAPASWA KUPATA HUDUMA KAMA HATOPATA MALEZI KUTKA KATIKA FAMILIA YAKE


 Mwanafunzi akipata ufafanuzi kutoka kwa mwlimu milengo kuhusiana na maambukizi ya ukimwi












HAYA HAPA NI MATUKIO YA MAFUNZO KUTOKA CWCA YAKIONGWAZWA NA MWALIMU MILENGO LAKINI PIA MERRY AKIWA MWANASHERIA PAMOJA NA BI.AGATHA KUTOKA KITENGO CHA DAWATI POLISI MKOANI MARA.
Powered by Blogger.