Hatua 11 Za Kufuata Kumshawishi Mwanamke Mfanye Mapenzi
Najua umechoshwa kumuona yule mwanamke mrembo ambaye unapishana naye
kila siku aidha ukiwa nyumbani, kazini, shuleni ama hata katika ule
mkahawa maarufu ambao unapenda kutembea kila wikendi bila kuongea na
yeye.
Ama labda ni yule mwanamke ambaye umefanya kumuona majuzi na ni mgeni kwako.
Well, haya si matatizo makubwa kwani kama unataka kumtongoza na kumuwini
hadi ufanye mapenzi na mwanamke basi unapaswa kuelewa mambo kadhaa
yanayofanya kazi, na ujue mbinu za kutumia ili zifanye kazi kwa manufaa
yako.
Kama hutaweza kuwa yule mwanaume ambaye anaweza kumshawishi mwanamke
kirahisi. basi inaweza kuwa vigumu wakati wa kujaribu kuteka atenshen
yake.
Lakini usiwe na wasiwasi coz hizi hatua ambazo tutakupatia sahizi zitakusaidia pakubwa kuweza kumuwin mwanamke kirahisi.
So inakuwaje?
Kabla tuanze nataka ufahamu kuwa kila mwanamke anakuwa na ladha yake
tofauti tofauti ikija kwa kuchagua mwanaume, na ukitumia ujanja wako
vyema wa kutotambulika basi unaweza hata kulala naye kwa muda mfupi
zaidi bila wewe hata kufikiria.
Hatua 11 za kufanya ufanye mapenzi na yeye
#1 Kuwa karibu na yeye
Kama unamtaka mwanamke basi kitu cha kwanza ni kuwa lazima umjue vizuri.
Usijitokeze na ubabe mwingi wa kujiona beberu kwa sababu atakuona kama
tishio kwake ama hatakuwa huru kuongea na wewe ama mbaya zaidi ataboeka
na wewe.
Fanya kuongea na yeye ili umjue vizuri. Mtumie meseji mara kwa mara na
tumia lugha ambazo zitakuwa sahili kwake ili akukubali haraka. Lakini
usiwe na pupa ya kuanza kumtongoza, la. Onyesha tu ule upendo wa
kirafiki mara ya kwanza.
#2 Pendezeka
Hii hatua ndio itakayoamua iwapo kama umempendeza ama wampotezea wakati
wake. Wakati unapoongea na yeye mara kwa mara jaribu kuangalia ishara
zozote kutoka kwake iwapo yuko interested na wewe au la.
Hii hatua unapaswa kumtext na kumtumia jumbe ambazo zitalingana na mambo
anayoyapenda. Mfano kama anapenda kuhusu mada za sinema basi pia wewe
fanya tafiti kuhusu filamu ambazo anazipenda ili uweze kumpendeza.
Hii hatua pia unapaswa uchunge usiwe mtu wa kuboa kwani ataanza
kukutenga polepole mpaka mwisho ujione mjinga. Ukimwona ameanza kujibu
meseji zako kuchelewa ama kutokujibu siku nzima basi fahamu ameanza
kukutenga. Hivyo basi hakikisha kuwa unakuwa mjanja katika hii hatua.
#3 Kuwa active usiku wa kiza
Wakati mzuri na ule wa msisimko ni kutumia jumbe usiku wa kiza na
kupigiana masimu. Usiku wa kiza ni muhimu kwa kuwa mwanamke ni rahisi
kuitikia kile ambacho unataka wewe.
Hakikisha wakati unapoanza kumtumia jumbe anza na nyakati za jioni siku
ya kwanza, saa mbili siku ya pili mpaka azoee kuchat na wewe mida hizo
za saa nne hadi usiku wa kiza.
Pia hapa uchunge meseji zako zisikuje kwa uzito. Anza kwa kumchokoza
polepole hadi ufikie pale ambapo unaweza kumtumia meseji za mapenzi hadi
zile za kumpandisha nyege.
#4 Ishi maisha mawili
Hapa ni pale ambapo unahitajika kumchanganya. Kila wakati wa usiku
unapomtumia jumbe na kumpigia simu hakikisha kuwa unamsuka, unamtongoza
na unamrushia meseji za kimahaba. Lakini ikiwa wakati wa mchana
umekutana na yeye usijaribu kuongea kama vile ambavyo unaongea naye
usiku unless yeye mwenyewe aanzishe stori kama hizo – ishara ya kuwa
amependezwa na wewe.
Halafu muhimu zaidi ni kuwa wakati mnapokuwa na marafiki wengine
msiongee kuhusu chat zenu kabisa, yaani ni nyinyi wawili pekee ndio
mnaopaswa kuongea mambo kama hayo. Hii itaingia kwa akili yake kuwa
mambo mnayoyafanya usiku ni kati ya nyinyi wawili hivyo basi lazima kuna
kitu ambacho kinaendelea kati yenu.
#5 Usimuonyeshe kuwa unampenda
Hapa ndipo wanaume wale wa ‘kawaida’ ndio wanapofanya makosa.
Wanamwambia mwanamke kuwa wanampenda na kuwa wanahisia na wao. Yeah,
ofcourse unampenda. Tayari anajua hilo, si ni kweli? Unamtext kila
wakati, unampigia simu kila mara, na lazima atakuwa anahisi hio kemia.
Lakini ijapokuwa ana fununu ya kuwa unampenda, anahitaji uhakikisho wake
kupitia kwa kukusikia wewe umwambie hivyo. Cheza kijanja, usimwambie na
mapema. Utakuwa unamsisimua na ataathirika na wewe kihisia. Lakini
kumwambia mapema hisia zako zitaua ile haja ya yeye kutakaa kujua zaidi
kutoka kwako. Wanipata? [Soma: Jinsi ya kuathiri hisia za mwanamke]
#6 Ingia katika himaya yake ya binafsi
Wakati mko nyinyi wawili pekeenu, kaa karibu na yeye na ujifanye kama
hukuona kama umekaa na yeye karibu sana. Umekuwa ukimtongoza mara kwa
mara so ni wakati wako sasa wa kuingia katika himaya yake binafsi.
Iguse mikono yake ama vidole vyake wakati ambapo unaongea kitu flani,
weka mikono yako kwa kiuno chake wakati unapishana na yeye ama unaenda
ule upande mwingine, mguse huku ukimsifia, ama unaweza kumkumbatia
sekunde zaidi wakati mnaagana
#7 Jenga tenshen ya kemia
Kufikia sasa, atakuwa anahisi hisia kila wakati ambapo unamgusa
kimaksudi au kibahati mbaya. Hii ndio hatua ambayo unapaswa umfanye
atamani miguso yako. Kumbuka hapa kuwa lengo letu ni kufanya mapenzi na
yeye lakini tunaenda kimpango. Wakati unapokuwa unamgusa, hakikisha kuwa
mkono wako unatomasa mgongo wake ama mikono yake. Msogelee karibu zaidi
na umwambie maneno kupitia kwa masikio yake. Ongea kwa sauti nzito na
iliyo ya kuvutwa wakati unapokuwa naye. Jenga kemia vile inavyohitajika
na utamfanya atamani mikono yako ibaki kwake daima
#8 Cheza michezo
Kama umekuwa ukimsuka na umekuwa ukimjaza kila wakati unapokuwa umekaa
na yeye, basi utakuwa umemtongoza na ameingiliana na unaweza hata kuenda
kulala na yeye.
Lakini kama unataka kuchukua mambo hatua kwa hatua basi unaweza kurudi
kule kwa text na uwe unamtumia jumbe za kumsuka na kumchanganya akili
mara kwa mara. Hapa utakuwa unamtongoza huku ukienjoy. Tumeelewana hapa?
#9 Mazungumzo machafu
Umekuwa ukimtext, ukimsuka, na kumtongoza kila usiku. Na kama amekuwa
akiingiliana na text hizo zako, hapa basi ndipo unaweza kuwa na ile
ruhusa ya kuongea uchafu na yeye na kuchukua hatua ya juu zaidi. Tumia
simu yako kuanza kwa kumtumia meseji zilizo rahisi ambazo zinaonekana
safi hadi ufikie kule kwa kumtumia meseji chafu. Na bila hata kujijua
mtajikuta nyote wawili mkisex chat pamoja.
#10 Mwagize mtoke out
Pindi ambapo mtakuwa mshafanya sex chat na mwanamke kupitia kwa simu
itakuwa tayari ushafunga mchezo. Sasa kile kilichobakia ni kufanya
mapenzi ana kwa ana. Mwambie mtoke out ama mwambie kuwa unataka kukutana
na yeye siku moja. Tengeneza plan ya kukutana nyumbani kwake ama aje
mkutane kwako. Hakikisha kuwa sehemu ni hizo mbili pekee na wala si
kukutana sehemu za umma unless kama bado unajaribu kumtongoza mara
nyingine. Na hapa ndipo utaamua kama mahusiano yenu yatakuwa ya mlalano
ama yatakuwa ya romance.
#11 Fanya mapenzi na yeye
Na mwisho utakapokutana na yeye – tayari anajua ajenda ya kukutana na
wewe – usimrukie papo kwa papo eti kwa kuwa tayari umefanya sex chat na
yeye kwa simu.
Unaweza kuharibu mpango mzima ambao umekuwa ukiujenga kwa muda.