VIKUNDI VYA VIJANA NA WANAWAKE VYAPATA MKOPO WA SH MILIONI 10, TARIME MJI;


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Hamis Nyanswi(kushoto) na Mbunge wa Jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko(kulia) wakikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni kwa vikundi vya vijana na wanawake


Vijana na wanawake walionufaika na mkopo huo wakiwa katika picha ya pamoja

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Hamis Nyanswi na Mbunge wa Jimbo la Tarime Mjini EstherMatiko  wamekabidhi hundi ya shilingi milioni 10 ikiwa ni mkopo kwa vikundi 13 vya vijana na wanawake ili kuwasaidia kuendeleza biashara zao.Mkopo huo umetolewa na Halmashauri ya Mji wa  Tarime.

Powered by Blogger.