MBUNGE MATHAYO AWATOA HOFU WAKAZI WANYASHO
Mbunge wa jimbo la musoma
mjini mheshimiwa vesdastusi manyinyi mathayo amewatoa hofu wananchi nawakazi wa
kata ya nyasho
katika manispaa ya musoma mkoani mara baada ya kuwepo tarifaya
ya kupanuliwa kwa uwanja wandege wa musoma kuwa wataripwa fidia za zote kama
inavotakiwa kama mradi ukianza.
Akizungumza katika mkutano wa
hadhara uliofanyika katika viwanja vya kibini katika kata ya nyasho ndani ya
manispaa ya musoma amewatoa hofu wananchi baada ya kuwepo kwa tarifa ya upanuzi
wawauwanja wandege nakusema kuwa atahakikisha watu wote wanalipwa fidia zao
pindi mradi huo utakapo kamilika nakuanza kufanya kazi.
Mathayo amesema nivyema wananchi
wakaishi bila hofu kwani kila mtu atalipwa fidia kuhusiana na eneo lake pindi
mradi huo utakapoanza kufanya kazi baada ya ramani kukamilika nakuletewa
mstakabali ya ulipwaji waviwanja pamoja na nyumba zao.
Pia alisema kuwa katika
ulipaji huo hawataangalia nikiwanja kipi kilipwe kwani atahakikisha kila mtu
atalipwa kulingana na eneo lake hataka hana hata yeye atahakikisha analipwa
kwani eneo hilo nilake nivyema mtu akalipwa nasikudhurumiwa.
’’nitahakikisha unalipwa
hatakama haunabima mbona unapoishi sinikwako hii haitaangalia wewe unabima au
hauna tutalishughulikia kwa ukamilifu swala hili’’
Mmmoja wawananchi ambae
hakutaka jina lake litajwe yeye alihoji kuhusisna na mradi huo kwani kunasehemu
ambayo aliitenga baba wataifa kujengwa uwanja kwanini wasiende wakajenge ambayo
ninyasurura? Kuliko kubomoa maeneo nanyumba za watu wakaanze kujenga tena upya
alihoji.
Lakini mbunge alisema kuwa
ule uwanja wanyansurura nnikiwanja ambacho kiko musoma vijijini kwahiyo
hakihusianani kabisa nakiwanja cha musoma mjini kwani kiwanaja cha musoma mjini
nichamusoma kwahiyo aliwambia wananchi wasilinganishe kiwanja hicho cha
vijijini na cha mjini kwani hata rais
magufuli amekitaja sana kiwanaja cha musoma niviwanja ambapovyo vinahitji
marekebisho.
Mathayo alisemakuwa kuwepo
kwa uwanja wakisasa hapa musoma mjini kutakuwepo na fursa nyingi sana zakazi
hasa kwa vijana kwani watakuwa wanajipatia kipato kwa urahisi nakupunguza
uzururaji nahata vibaka lakini pia itakuwa nifursa kwa mkoa wa mara kwa wageni
kutembelea nakuangalia fursa ambazo zipo katika mkoa wa mara.
Katika msafara huo wa mmbunge
aliongozana na mkuu wawilaya ya musoam vicent naahano ambapo yeye alizungumzia
kuhusiana na uvuvi haramu kwani alipigilia msumali nakusema kuwa hawatamwacha
mtu ambae anajihusisha na uvuvi haramu hasa samaki wadogo wadogo.