TAARIFA KUHUSU WEMA SEPETU KUHAMIA CHADEMA
Huu hapa chini ujumbe uliochapishwa na msemaji wa Chadema,Tumaini Makene Facebook
Hongera #Wema_Sepetu, Karibu sana CHADEMA.
Chama
kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe, baada ya kesi ya
kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu
leo.
Kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo #Wema_Sepetu.
Taarifa rasmi tutawaletea