MWENYEKITI WA CCM RORYA ANG’AKA KUSHUKA MAPATO YA HALMASHAURI
samweli kiboye namba tatu.
wajumbe wakimsikiliza mwenyeki wao'
Mwenyekiti wa
ccm wilayani BW. SAMWELI KIBOYE ALMARUFU NAMBA TATU rorya mkoani mara amekerwa
nakitendo cha halamshauri hiyokushuka kwa mapato ya halmashauri kutoka milioni 60 hadi 30,
huku chanzo kikiwa
ni baadhi ya watumishi wa halmashauri hiyo Kujihusisha na upigaji.
Hayo yamesemwa
wakati wakuwsilisha utekelezaji wa ilani katika ofisi ya ccm utegi wilayani
rorya ambapo amemtaka mkuu wawialaya hiyo kusimamia ilikumsaidia mkurugenzi
kuhakikisha unakuwapo ushirikiano wamaendelo katika wilaya hiyo haya ni baadhi
ya matukio yakikao kinachoendelea huko rorya fatiliakupitia MAKALIBLOG.
Ameongeza kuwa
wafanyakazi wa halmashauri ya rorya hawana ushirikiano na mkurugenzi wawilaya
hiyo ilikumsaidia katika utendaji wakazi ulio sahihi ilikuleta maendeleo
yanayotakiwa ambapo amemtaka mkuu wawilaya rorya bw, saimoni chacha kuangalia
baadhi ya watumishi katika wilaya hiyo kwani wengi wao siwadirifu.
Ambapo kushuka
kwa mapato na matumizi hayo kumesababisha madiwani wa halamashauri hiyo
kutolipwa posho zao kwazaidi ya miezi sitta sasa huku mwenyekiti huyo akimtaka
mkuu wawilaya kuhakikisha unakuwepo uchunguzi wa chini ilikubaini pesa hizo
zinatumika wapi
.
Wakati huo
huo muweka hazina katika halamashauri ya rorya ametuhumiwa kutotoa ushirikiano
kwa viongozi wawilaya hiyo ambapo amekuwa akifanya maamzi anayoyajua yeye hivyo
ameomba kupata uongozi ulio sahihi na wakuleta maendeleo lakini pia ikiwa lengo
mahususi kuyafikia malengo ya wilaya hiyokuwa juuu.