MASHABIKI LEICESTER WAWAITA WACHEZAJI WAO KUWA NI NYOKA



Pamoja na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Liverpool  mashabiki wa Leicester City wameiwaita wachezaji wao ni nyoka.


Mashabiki wanaonyesha kuchukizwa baada ya kuanza kushinda mara tu baada ya kufukuzwa kwa Kocha, Claudio Ranieri.
Powered by Blogger.