MKUU WAWILAYA YA TARIME AENDELEZA ZOEZI LAKE LA KUFYEKA BHANGI;
BADO HARAKATI ZINAENDELEA ZA KUFYEKA NAKUTAKATISHA ZAO HARAMU LA BHANGI WILAYANI TARIME MKOANI MARA AMBAPO MKUU WAWILAYA HIYO AMEJIZATITI KUKOMESHA ULIMAJI ULIOKUWA UMEKITHIRI KATIKA WILAYA HIYO; KAMPENI HIYO INAONGOZWA NA GLORIUS LUOGA DC TARIME.
PICHA NA cleo newz blog
MKUU WA
WILAYA YA TARIME GLORIOUS LUOGA AKIFYEKA BANGI KATIKA ZOEZI ZIMA LA
KUTEKETEZA MASHAMBA HAYO HII LEO KITONGOJI CHA MWARA KIJIJI CHA
NYARWANA KATA KIBASUKA WILAYANI TARIME MKOANI MARA |
MTUHUMIWA AKIHOJIWA BAADA YA KUKUTWA ANAVUNA BANGI |
WANAHOJIWA |
MASHAMBA YA BANGI |
WATUHUMIWA BAADA YA MSAKO MKALI |
ASKARI POLI AKIONESHA BAADHI YA MBEGU ZA BANGI |
MAGARI YAKISHUSHA BANGI |
HAWA NIWATUHUMIWA WALIOKAMATWA NA JESHI LA POLISI ANAEZUNGUMZA NAE NI( OCD) NYAMWAGA MOURICE OKINDA |
BANGI |