Viongozi wa Chama Cha
Walimu Wastaafu jiji la Tanga (Chajiwata) pamoja na STAFF ya Mfuko wa Pensheni
(PSPF) wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella
mara baada ya mkutano na walimu wastaafu wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma
kwa mteja mkutano uliofanyika jana ukumbi wa mikutano jengo la Mkuu wa Mkoa wa
Tanga.
Imeandaliwa
na blogu ya kijamii ya Tanga Kumekucha
|