ANGALIA PICHA ZA MBUNGE JIMBO LA TARIME VIJIJINI JOHN HECHE KATIKA MIKUTANO KIJIJICHA KIMUSI KATA YA NYAMWAGA NA KATA YA GANYANGE
angalia matukio yote
MBUNGE AKIREJEA KWENYE MKUTANO KATIKA KIJIJI CHA KIMUSI KATA YA NYAMWAGA WILAYANI TARIME MKOANI MARA JANA. |
MBUNGE AKISALIMIANA NA WANACHI WAKE BILA KUJALI ITIKADI ZA VYAMA |
MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYANI TARIME LUCAS NGOTO AKISALIMIANA NA WANACHI WA KIJIJI CHA KIMUSI KATA YA NYAMWAGA. |
MBUNGE AKISAINI KITABU CHA WAGENI KATIKA MKUTANO KIJIJICHA KIMUSI KATA YA NYAMWAGA WILAYANI TARIME MKOANI MARA |
MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TARIME LUCAS NGOTO AKIONGEA NA WANACHI WA KIJIJI CHA KIMUSI KATA YA NYAMWAGA WILAYANI TARIME MKOANI MARA |
MWENYEKITI CHADEMA WILAYA YA TARIME KUSHOTO AKIWA NA DIWANI WA KAYA YA NYAMWAGA AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA HALAMSHAURI YA WILAYA YA TARIME MOSES MISIWA YOMAMI KATIKA MKUTANO |
DIWANI WA KAYA YA NYAMWAGA NA MWENYEKITI WA HALAMASHAURI YA WILAYA YA TARIME MOSES MISIWA YOMAMI AKINGEA NA WANANCHI WAKE KATIKA KIJIJICHA KIMUSI KATA YA NYAMWAGA WILAYANI TARIME |
DIWANI WA KATA YA NYAMWAGA MOSES MISIWA AKIPONGEZWA NA MBUNGE WA JIMBO LA TARIME VIJIJINI JOHN HECHE KULINGANA NA UTENDAJI KAZI WAKE. |
MBUNGE WA TARIME VIJIJINI JOHN HECHE AKIONGEA NA WANACHI WAKE KIJIJICHA KIMUSI KATA YA NYAMWAGA |
WANACHI WAKISIKILIZA MBUNGE WAO |
MBUNGE HECHE AKITAMBULISHA KATIBU WAKE ZABRON MRIMI KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA KIMUSI |
KATIBU WA MBUNGE ZABRON MRIMI AKIONGEA NA WANANCHI WA KIMUSI |
MBUNGE HECHE KUSHOTO AKIMWELEKEZA MWENYEKITI WA KIJIJI CHA KIMUSI KUWASOMEA BAADHI YA MIGOGORO ILIYOINGIZWA KWENYE KITABU CHA SERIKALI CHA MIGOGORO |
MBUNGE AKISAINI KITABU CHA WAGENI BAADA YA KUFIKA KATA YA GANYANGE WILAYANI TARIME MKOANI MARA KWA AJILI YA MKUTANO. |
DIWANI WA KATA YA GANYANGE CCM NASHON AKISALIMIANA NA WANANCHI WAKE |
MBUNGE AKIONGEA NA WANANCHI WA KATA YA GANYANGE WILAYANI TARIME MKOANI MARA |