Uchakavu wa miundombinu shule za msingi wilayani Musoma zakabiliwa

Pamoja na serikali kufanikiwa kupunguza tatizo la uhaba wa madawati imebainika kuwa sekta ya elimu nchini bado imeendelea kukumbwa na changamoto mbalimbali kufuatia baadhi ya shule za msingi  wilayani Musoma mkoani Mara kukabiliwa na tatizo la uchakavu wa miundombinu, ukosefu wa  matundu ya vyoo, uhaba wa madarasa, upungufu wa walimu pamoja na ukosefu wa nyumba za walimu hali inayotajwa kuwa endapo isipopatiwa ufumbuzi wa kina huenda ikapelekea kukwamisha utolewaji wa huduma ya elimu kwa kiwango kinachotakiwa.

Mbali na kuelezwa kupungua kwa tatizo hilo katika shule nyingi za msingi katika manispaa ya musoma lakini tatizo la uchakavu wa miundombinu, uhaba wa matundu ya vyoo, uhaba wa madarasa, upungufu wa walimu imebainika kuwa ni sababu inayopelekea wanafunzi wengi kusoma kwa zamu katika darasa moja.

mtandao umetembelea nakubaini uwepo watatizo hilo.
Powered by Blogger.