MAMA JANETH MAGUFULI AHUDHURIA MSIBA WA SHEMEJI YAKE RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE BAGAMOYO
matukio yote haya haba
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
(kulia) akiwa na Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete alimfariji Bi
Maguno Binti Athumani ambaye ni mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho
Kikwete kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam
Saburi aliyefariki jana na kuzikwa leo huko Bagamoyo leo
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho
Kikwete akimfariji mkwewe Bi Maguno Binti Athumani kwenye msiba wa
shemeji yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam saburi aliyefariki jana na
kuzikwa leo huko Bagamoyo leo
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akimpa mkono wa pole Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa
shemeji yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Saburi aliyefariki jana na
kuzikwa leo huko Bagamoyo leo
Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli akiwafariji watoto wa Marehemu Mariam Saburi ambaye ni Shemeji
wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete aliyefariki jana na kuzikwa leo
huko Bagamoyo leo
PICHA NA IKULU