MAIKO WAMBURA APANIA KUINUA SOKA MKOANI MARA AJA NA MIKAKATI KABAMBE
Mwenyekiti wa chama cha michezo mkoani m
ara maiko wambura ametoa misaada
ya mipira mine itakayotumika katika ligi ya mkoa ambapo lengo likiwa
nikuboresha michezo mkoani humo nakuibua vipaji kwa ajili ya taifa lakesho
Wambura wakati akitoa mipira hiyo kwa timu za wanaume naligi ya wanawake pia wamepewa mipira sita
ambayo itasaidia katika maandalizi mbalimbali yaligi hiyo
Ligi ya mkoa inatarajiwa kuanza octomber30, mwezi huu ambapo
itashirikisha timu ambazo zitajitokeza ilikutafuta timu ambayo itasaidia kuiua
vipaji ikiwemo kuwa natimu ya combaini ya mkoa ambayo itaitwa kumbu kumbu ya
mwalimu nyerere ambapo.
Huku akijzungumzia timu ya polisi mara amesema sasa wanamipango
kuirejesha timu hiyo kuwa timu ya jamiiii kamati mbalimbali zimeundwa
ilikunusuru ligi hiyo lakini pia kuepuka
viongozi waliko kwa ajili ya maslahi nasikuangalia soka kwa ujumla
mwenyekiti wa chama cha michezo mkoani mara akizungumza na wandishi wa habari
kushoto nimwenyekiti maiko wambura akimkabidhi sophia mipira kwa ajili ya chama cha wananwake
mwenyeki maiko wambura katika kushoto ni bwana samweli katiku wa mpira kushoto ni sophia wakati mwemyekiti wambura akizungumza na wanahabari.