ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI MADIWANI HALMASHAURI YA MJI WA TARIME KAMATI YA FEDHA WATEMBELEA MIRADI MBALIMBALI UKIWEMO UJENZI WA NYUMBA ZA WATUMISHI, KALAVATI PAMOJA NA DARAJA LA MTO MORI.


MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME HAMIS NYANSWI AKIFAFANUA JAMBO KWA INJINIA WA HALMASHAURI YA MJI  WA TARIMETHEODORY NESTORY BAADA YA KUTEMBELEA UJENZI WA NYUMBA YA WATUMISHI HII LEO.

MWENYEKITI WA HALMASHUARI YA MJI WA TARIME HAMIS NYANSWI AKIKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MTO MORI KATA NYANDOTO AMBAO UKIKAMILIKA GARAMA ZAKE NI SHILINGI 264 ,248,000.00
MADIWANI WAKIANGALIA UJENZI  WA DARAJA HILO LA MTO MORI
INJINIA WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME THEODORY NESTORY AKIONESHA DARAJA LINALOJENGWA
DIWANI WA VITI MAALUMU CHABDEMA MAMA TEKRA JOANESS AKISHAURI JAMBO BAADA YA KUKAGUA DARAJA LA MTO MORI LINALOJENGWA
DIWANI WA KATA YA NKENDE  CCM DANIEL KOMOTE AKSHAURI JAMBO BAADA YA KUKAGUA DARAJA HILO LA MTO MORI LINALOENDELEA KUJENGWA.


KAMATI YA FEDHA IKIKAGUA KALAVATI ILIYOJENGWA KATA NYANDOTO KATI YA KALAVATI 14 AMBAZO ZIMEJENGWA MAENEO MBALIMBALI KATIKA ALMASHAURI YA MJI WA TARIME
MOJA YA NYUMBA YA WATUMISHI ILIYOJNGWA
MPJA YA SHAMBA DARASA LILILOPO KATA YA KITARE LILILOPANDWA MAHINDI
MKULIMA MARTIN MARWA AMBAYE NI MMILIKI WA SHAMBA DARASA LILILOPO KATA YA KITARE AMBALO LIMETEMBELEWA NA KAMATI YA FEDHA HII LEO

Powered by Blogger.