RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN AMPANDISHA CHEO RC MARA SASA BRIGEDIA JENERALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo mkuu wa Mkoa wa Mara kutoka kuwa Kanali nakuwa Brigedia Jenrali.
Hafla hiyo na maafisa wengine wamepandishwa vyeo na Mkuu wa Majeshi kwaniaba ya Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan leo Agosti 28/2026.

