MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MARA ATANGAZA NEEMA KWA WALIMU MAKADA WA CHAMA...
Kushoto
ni James Makanya mwalimu ambaye ni kada wa CCM Katikati ni Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Mara Samweli Kiboye maarufu No3 na kushoto kwake ni
Katibu wa CCM Mkoa wa Mara Innocent Nanzabar.

kushoto
ni Mwalimu Happynes Simiti akisalimiana na katibu wa CCM Mkoa wa Mara
Innocent Nanzabar katikati ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara Samweli
Kiboye.

Mwenyekiti akiendelea kusalimiana na walimu ambao ni makada wa ccm mara baada ya kufungua kikao hicho.

Aliyasema hayo wakati
akizungumza na umoja walimu ambao ni makada wa ccm mkoa wa mara ,ambapo alisema
kwa kutambua mchango wawalimu ameona nivyema kuwafungulia saccos walimu itakayowasaidia
kujikimu kimaisha ikiwa nimalengo ya kuboresha maslahi ya walimu.

Kiboye alimtaka
katibu wa ccm mkoa wa mara kuhakikisha wanawasimamia walimu ambao ni makada nasikuwa tumia kinyume na maadili ambapo
niviongozi tegemezi wa chama.

Awali akisoma risala katibu wawalimu hao amesema mmoja ya
changamoto kubwa inayowakabili nikukosa ni ukata wa fedha ambao umekuwa
ukisababisha kushindwa kufanya kazi ipasavyo.

Nao baadhi ya makada hao ambao ni walimu wamelipokea kwa
furaha swala hilo lakufungua sacoss kwani sasa itawasaidia walimu kujiinua
kiuchumi ambapo wameahidi kushirikiana vyema na serikali ya awamu ya tano.

Aidha mwenyekiti alisema hatowafumbia macho wale viongozi
ambao wamekuwa na tabia ya kufuja fedha ambapo sasa ni wakati wakuwafichua
kwani kuna wengi wamekuwa wakitumia kivuli cha uongozi wao kufuja mali