MABARAZA YA WAZEE WASHAURI YA ZINDULIWA MUSOMA VIJIJINI.
![]() |
picha ya pamoja wazee na mbunge wa jimbo la musoma vijijini Prof.Sospeter Muhongo mara baada ya kikao cha pamoja katika uzinduzi wa mabaraza ya wazee. |
![]() |
picha ya pamoja na wenye viti wa ccm wakata mara baada ya kikao. |
Jimbo la musoma vijijini limeunda na kuzindua mabaraza ya ushauri ya wazee yatakayoshughulikia mambo ya ushawishi na uhamasishaji kwenye masuala ya utamaduni, uchumi na maendeleo kwenye ngazi ya vijiji.
Mabaraza hayo yamezinduliwa na Mbunge wa Jimbo la musoma vijijini Prof sopeter Muhongo katika kijiji cha Chumwi.
Uzinduzi wa mabara hayo kwa jimbo la Musoma Vijijini limeamua kujenga uchumi imara ambao utaondoa umaskini kwa kasi kubwa. Utekelezaji wa uamuzi huu utafanikiwa kwa kujenga, kuboresha na kuimarisha miundombinu ya ELIMU na AFYA, na KILIMO CHA KISASA.
Katika vipaumbele vikubwa kwa jingo hilo ni Mazao ya chakula (mihogo, mtama, mahindi, viazi vitamu, mbogamboga na matunda) na mazao ya biashara (pamba, alizeti, ufuta, mihogo, mahindi na matunda) yanawekewa mkazo mkubwa.
Hivyo mbunge amewataka wazee kusimamia katika maeneo ya kwani Mafanikio yatapatikana kwa uharaka iwapo kutakuwa na ufuatiliaji mzuri wa utekelezaji wa miradi ya uchumi na maendeleo Jimboni.
Wakati huo huo Mbunge wa Jimbo amefanya Kikao na Wenyeviti wa CCM wa Kata huku leongo kubwa ikiwa juu ya usimamiaji wao wa utekelezaji wa Miradi ya Uchumi na Maendeleo nautekelezaji wa (Ilani ya CCM ya Uchaguzi) kwenye Kata zao.