DC.LUOGA AOMBA MGODI WA ACACIA NORTH MARA KUUNGA MKONO KATIKA UJENZI WA NYUMBA ZA ASKARI TARIME.
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiongea katika hafla fupi ya
kukabidhi vitu mbalimbali vilivyotolewa na Wanawake wafanyakazi wa Mgodi
wa Uchimbaji wa Dhahabu ACACIA North Mara katika Maadhimisho ya
siku ya wanawake Duniani ambapo maadhimisho hayo, wameyafanya kwa
kutembelea Gereza la Wanawake Tarime, ambapo Mkuu wa Wilaya huyo
amesema
kuwa ameomba uongozi wa Mgodi kumuunga Mkono katika Ujenzi wa Nyumba
100 za Jeshi la Polisi na Magereza zoezi ambalo anaendelea nalo kwa
sasa.