BAADA YA DROO YA UGENINI YANGA WAANGUKIA KOMBE LA SHIRIKISHO.

Kwa mara ya kwanza Townsip Rollers inaingia hatua ya makundi klabu bingwa Afrika toka ianzishwe mnamo mwaka 1961.
ambapo katika hatua hiyo yanga inasubiri kupangiwa timu gani itakayokutana nayo lakini baada ya mchezo huo baadhi ya mashabiki wanaoishi Botswana wamekipongeza kikosi cha Yanga kwani kimecheza kwa usatdi tofauti na mechi ya kwanza iliyochezwa nchin Tanzania.