VIDEOMAKALINEWS;DC GLORIUS LUOGA NITAHAKIKISHA ASKARI WETU WANAKAA MAKAZI BORA UVCCM WAM...
Mkuu wawilaya akionesha mfano wa Tofali Yanayokiwa kwa mmoja wa vijana katika shughuli hiyo kushoto kwake mwenye tsheti ya njano ni mwenyekiti wa UVCCM TARIME Godfrey Francis.
katika Picha ni vijana wa UVCCM Tarime wakiwa tayari kwa shughuli aliyevalia Tsheti ya njano ni mwenyekiti wa UVCCM Tarime Godfrey Francis.
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akionyesha jinsi ya kufyatua tofali hizo.
kazi ikiendelea
Vijana wa UVCCM Wilaya ya Tarime Mkoani Mara wakiendelea na zoezi .
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akionyesha jinsi ya kufyatua tofali hizo.
Vijana wa UVCCM Tarime wakiendelea na Zoezi hilo la kufyatua tofali.