VIDEO NA MAKALINEWS.SHIRIKA LA UMABU LAFANIKIWA KUONDOA CHANGAMOTO YA MIMBA MASHULENI NAKUONGEZA KIWANGO...

Sehemu ya Wanafunzi wa Shule ya sekondari Mkirira wakiwa katika picha ya pamoja kushoto mwanzo ni Mratibu wa Mradi wa Boresha Elimu Bw.Gabriel magita nakulia mwanzo ni Walimu wa shule hiyo.
Shirika la UMUBA kupitia Mradi wake wa boresha elimu kwa watoto wakike baada ya kubaini kuwepo kwa vishawishi vingi kwa watoto wakike hususani kupata mimba wakiwa mashuleni hatimaye limeanza kutoa elimu katika halamashauri ya musoma ili kuhakikisha wanaondoa changamoto hizo.
Yalisema hayo na mratibu wa mradi huo wa boresha elimu Bwana Gabriel mbwile wakati wakuhitimisha mafunzo ambapo alisema mpaka sasa imebainika ni zaidi ya mimba 64 zimelipotiwa jambo ambalo limewasukuma kutoa elimu katika shule za sekondari.

Wanfunzi wa shule ya sekondari mkono Mara baada ya kupewa Elimu kujiepusha na mimba.

Mratibu Gabriel akisistiza jambo kwa wanafunzi hao.

Elimu ikitolewa kwa wajumbe wa Bodi ya shule ya Sekondari Mkirira.