MRADI WA BORESHA ELIMU WA (UMABU) WALETA MAFANIKIO KATIKA SHULE ZA SEKONDARI MUSOMA VIJIJINI.

Sehemu ya Wanafunzi wa Shule ya sekondari Mkirira wakiwa katika picha ya pamoja kushoto mwanzo ni Mratibu wa Mradi wa Boresha Elimu Bw.Gabriel magita nakulia mwanzo ni Walimu wa shule hiyo.


Wanfunzi wa shule ya sekondari mkono Mara baada ya kupewa Elimu kujiepusha na mimba





Mratibu Gabriel akisistiza jambo kwa wanafunzi hao.



Elimu ikitolewa kwa wajumbe wa Bodi ya shule ya Sekondari Mkirira.