Waziri Mkuu atoa siku Nane(8 )kwa kamishna wa TRA kumpeleka ofisini kwake mkandarasi aliyejenga jengo la TRA Sirari.


Waziri mkuu Mh Kassim Majaliwa akiongea na wakazi wa Sirari Wilayani Tarime Mkoani Mara kwenyejengo la TRA ambalo lipo mpakani wa Nchi ya Tanzania na Kenya ambapoametoa Siku 08 kwa kamishna wa TRA kumpeleaka mkandarasi aliyehuska kujenga jengo hilo ofisini kwake kabla ya Januari 25 Mwaka huu ili kutoa Maelezo juu ya ujenzi wa jengo hilo.


Jengo la TRA Sirari mpakani mwa Tanzania na Nchi jirani ya Kenya.
sehemu ya wananchi Huko Sirara
Powered by Blogger.