WAZIRI WA NISHATI ATEMA CHECHE KWA MKANDARASI WA REA MKOANI MARA.

Waziri wa Nishati Medard Kaleman akitembelea eneo la Mradi katika Kijiji cha Mariwanda Wilayani Bunda Mkoani Mara kushoto kwake ni mkuu wa mkoa wa mara Adam Malima

waziri wa Nishati Medard Kaleman akitoa maagizo Makali baada ya kutembelea
Mradi wa Umeme wa REA Katika kijiji cha Mariwanda kata Hunyari Wilayani
Bunda Waziri huyo amekuta Mradi umesimama na kutoa Maagizo Makali kwa
Mkandarasi wa kampuni ya Angelique International Ltd kumaliza mapema
ifikapo Juni 15 Mwaka 2018 huku akisema kuwa lazima akatwe Asilimia 10
za Kuchelewesha Mradi huo na kutosafiri Kwenda Hindia mpaka Mradi
kukamilika.

Nguzo zikisimikwa katika Kijiji cha Mariwanda Wilayani Bunda Mkoani Mara.


 
   Neelesh Kumar Mkandarasi kutoka Kampuni ya Angelique International Ltd akijibu
Waziri wa Nishati kwanini amechelewesha Mradi wa Umeme wa REA.



Sasa Waziri anatoa Maagizo.



waziri wa Nishati Medard Kaleman akiongea na Wananchi wa kijiji cha Mariwanda
kata ya Hunyari Wilayani Bunda na kuwahakikishia kuwa Vijiji na
Vitongoji vyote lazima vipate Umeme ili kuendeleza Tanzania ya Viwanda.






Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akiongea na wananchi wa Kijiji hicho.





Waziri Nishati Kaleman akitoa maagizo kwa Mkandarasi kumaliza mapema Mradi huo wa Umeme wa REA Katika Mkoa wa Mara.





Wananchi
wa kijiji cha Mariwanda wakisikiliza Waziri wa Nishati Medard Kaleman
katika ziara yake ya kutembelewa Mradi wa Umeme wa REA Vijijino Mkoani
Mara.



Waziri wa Nishati akisaini kitabu cha Wageni.



Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akisaini kitabu cha Wageni katika kijiji cha Mariwanda kata ya Hunyari Wilayani Bunda.



Burudani inaendelea.



Mkuu wilaya ya Bunda Lydia Bupilipili akicheza Ngoma.








Waziri wa Nishati akishukuru Wananchi kwa Burudani ya Ngoma.
Waziri wa nishati medadi kalemani amemuagiza mkandalasi anayetekeleza mradi wa REA awamu ya tatu katika mkoa wa mara kuwa ifikapo may 15,2018 kukamilisha mradi huo na vinginevyo kandarasi yake ya utekelezaji mradi huo itafutwa.

Akizungumza katika ziara aliyofanya mkoani mara ya kutembelea mradi huo unao tekelezwa katika wilaya za Bunda,Rorya na Traime waziri alimuagiza mkandalasi Neelesh kukamilisha nakukabidhi mradi huo haraka iwezekanavyo.

Medadi alisema kuwa atahakikisha mkandarasi huyo haendi kwao india hadi pale atakapokamilisha mradi huo ndipo atakapo mruhusu kusafiri.


                              TUPE MAONI YAKO MATUSI (HAPANA)
                                KWA HABARI NA MATRUKIO MAONI TUPIGIE KUPITIA                                    0754295996
                                                  Mussaj970@gmail.com
Powered by Blogger.