ACACIA 2018 tutajikita kuboresha Kilimo na Viwanda Vidogo Vidogo
Meneja Mahusiano kampuni ya ACACIA Richard Ojendo akifafanua jambo katika Kikao cha pamoja ambacho kimewashirikisha Wenyeviti
wa Serikali za Vijiji 11 Vinavyozunguka Mgodi huo, Madiwani pamoja na
viongozi wa Dini ili kupewa mrejesha kuhusu miradi iliyotekelezwa na
kampuni ya ACACIA 2017 na kazi zitakazofanyika 2018 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Ingwe suala ambalo linaenda sambamba na Maonyesho ya Wiki ya Mahusiano na Ujasirimali inayofanyika katika Viwanja vya Shule hiyo.
Baadhi ya Viongozi wakifafanua jambo na kuuliza maswali.
Diwani wa kata ya Kemambo Rshid Bugomba akiuliza swali ambapo amezungumzia changamoto kubwa kwa Nyamongo kuwa ni upatikanaji wa Maji safi na salama.
Viongozi wa Serikali za Vijiji wakichangia mada katika kikao hicho.
Meneja Mahusiano kampuni ya ACACIA Richard Ojendo akiongea na Vyombo vyua habari baada ya kikao hicho.