Makubwa..MWENYEKITI WA KIJIJI MBARONI KWA KUMBAKA MWANAYE
Na MAKALIBLOG.Butiama.
Mwenyekiti wa kijiji Cha Singu kata ya Kiabakari Wilayani hapa mkoani Mara Shaban Mribanzaki ametiwa kolokoloni kwa kumbaka mwanaye anaye mlea mwenye umri was miaka 13.
Kamanda wa polisi mkoa wa Mara, Jaffary Mohamed alipopigiwa simu alimwambia Na MAKALIBLOG alisema kuwa yeye yuko nje ya Mkoa na wasidizi wake wanaweza kuwa na taarifa hizi ikiwa angefika ofisini kwake.
Mtendaji wa Kijiji cha Singu, Nonga Nyanjarari alisema awali hakuwa taarifa ofisini kwake kwa mwenyekiti huyo kuwa na mahusiano na mwanaye bali alikuwa akizisilia mtaani na kuzichukulia kuwa ni maneno ya kawaida tu
"Taarifa hazikuwa zimefika ofisini kwangu lakini nimezipata kuwa amekamatwa na jeshi la polisi na Yuko kituo Cha Kiabakari akihojiwa,"alisema Mtendaji.
Akizungumzia ilivyokuwa Chausiku Kazimali ambaye ni mke wa Mwemyekiti huyu alisema Oktaba Saba wakiwa kisimani ndipo aligundulika kuwa mtoto huyo anamahusiano na baba yake baada ya kusikia wenzake kisimani wakimsuta anayoyafanya kuwa si mazuri.
"Siku hiyo nilimwambia atangulie akachote maji nam nitaenda kuchukua ndoo yangu,wakati nakaribia kufika kisimani ndipo nilisikia akiambiwa na wenzake kuwa yeye ni mjinga analala na baba yale, nilipofika nikahoji ndipo waliposema mtoto wangu ni mke mwenzangu,mume wangu analala naye anampa matmizi Hadi sh10,000.
Aliongeza kuwa nilipomhoji mtoto alikataa kusema tukashinda tukalaa kesho take nikaanza tena nimekasirika ndipo aliposema ni kweli baba Yale alianza kmbaka tangu mwezi Agosti huku akimpa pesa na kumtishia kumchinja ikiwa angetoa siri hiyo kwa mama yake,"alisema Kazimali.
Akieleza ilivyokuwa mtoto huyo alisema "siku ya kwanza aliniita akiwa amesimama kwenye mlango was chumbani akaniambia nikachukie taa ya sola, nikamtuma mtoto akasema nakuita unamtuma mtoto, nikaenda nikamkuta amesimama na shuka nikasita akasema niingie, nilivyoingia akanikabaka na kunilaza kitandani kwa mama alipomaliza mambo yake akaniambia nikisema atanichinja akanipa sh, 1000, siku nyingine akanipa sh, 5000 Hadi sh100000 amenipa,"alisema mtoto huyo.
Naye babu wa mtoto huyo ambaye ni baba yale na mwenyekiti Richard Wanzaki alisema Jambo hilo limewasikitisha Sana kwa kuwa mwenyekiti ana make wake.
"kitendo Cha kumbaka mtoto wanayemlea ambaye ni was ndugu yake kumetufedhehesha Sana na hatujui huyu shetani anataka Nini kwenye ukoo wetu huu,kwa kuwaameisha wekwa mikononi mwa polisi sheria itafuata mkondo wake,"alisema Wanzaki.