HII NDIO HOTEL PEKEE AMBAYO IMEJENGWA JUU YA MTI MKOANI MARA



Hoteli iliyojengwa juu ya mti Urefu wa futi 19 kutoka chini hadi juu na kijana aitwaye Michael Andrew maarufu Matiko mkazi wa mtaa wa Nyamihutwa kata ya Ronsoti Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara hotel hiyo inaweza kubeba watu 30 kwa wakati mmoja.

Kijana huyo anasema ameamua kufanya ujasiriamali wa kujenga hoteli hiyo kwa ajili ya kujikomboa kiuchumi lakini pia kuifanya sehemu hiyo kuwa kivutio cha utalii wa ndani.

Ukiwa juu ya hoteli hiyo

Muonekano wa hoteli hiyo juu ya mti




Powered by Blogger.