MHE; MATIKO AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO.............



Mbunge amesema kuwa ametoa vifaa hivyo vya michezo baada ya kuombwa na mmoja wa walimu katika shule ya sekondari Rebu alipokuwa katika mahafari ya kidato cha Nne Ndende sekondari "Nimeamua kuleta hii leo ni baada ya mwalimu kuona natoa vifaa vya michezo katika mahafari ya Nkende Sekondari na yeye aliomba sasa nakabidhi rasmi ili kutatua changamoto ya vifaa vya michezo katika shule zote za sekondari katika jimbo langu" alisema Mbunge.

Mbunge wa jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko akikabidhi mipira miwili kwa Makamu wa shule ya sekondari Rebu Urasa Mandaa ili kupunguza changamoto ya vifaa vya michezo.

Mbunge akisaini kitabu cha wageni shuleni hapo.

Mbunge akisalimiana na Walimu


 
Powered by Blogger.