Mahafari ya 38 Tarime Sekondari DC Luoga na Mbunge Matiko wanena
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Tarime Mjini CHADEMA Esther Matiko
mahafari ya 38 shule ya sekondari Tarime iliyopo Halmashauri ya Mji wa
Tarime akisisitiza jambo katika mahafari hayo ambapo ameitaka jamii
kupeleka mtoto wa kike shule pamoja na jamii kuondokana na suala la
kuvamia maeneo ya taasisi za serikali na binafsi.
Mbunge
wa jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko akisisitiza jambo katika
mahafari hayo ambapo amesema kuwa anaendelea kuzungungumzia Bungeni
suala la uanzishwaji wa shule kwa watoto wa kike ya serikali ili
waendelee kupata elimu.
Mkuu wa wilaya akishauri jambo baada ya kuzindua shamba la miti mbalimbali ikiwemo ya matunda.
Tunatembelea Mazingira.
Mbunge Matiko akishauri jambo katika upandaji wa Miti hiyo.
Wahitimu.
Mwalimu Mkuu shule ya Tarime Sekondari Mugisha Gilibona akisoma taarifa ya shule kwa mgeni rasmi.
Mbunge Esther Matiko akitetea jambo na Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga katika Mahafari hayo
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akiteta jambo na Mwalimu Mkuu Shule ya Tarime Sekondari.
Mkuu
wa Wilaya Glorious Luoga akikabidhi vifaa vya Michezo Mipira Miwili
iliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko.
ili kupunguza upungufu wa vifaa vya Michezo shuleni hapo.
iliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ambaye alikuwa mgeni rasmi pia amehaidi
kuongeza Mipira mingine Minne ili ifike Nane kwa lengo la kumaliza
changamoto ya Vifaa vya Michezo shuleni hapo.
Wazazi.
Zawadi kwa wafanyakazi bora shuleni hapo.
Vyeti kwa wahitimu.