Jinsi Mbuzi Anavyo Tumika Katika Tiba Dhidi Ya Tatizo La Nguvu Za Kiume.

Mbuzi Dume aliye komaa. Nyama, korodani na dhakari zinazo faa kutumika kama lishe maalumnu kwa wanaume wenye tatizo la ukosefu na upungufu za kiume vinatakiwa kutokana na mbuzi beberu aliye komaa
Katika makala ya leo tutatazama namna mnyama mbuzi anavyo tumika katika tiba asilia ya tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume.
Mbuzi jike na dume kwa pamoja wanaweza kutumika katika tiba dhidi ya tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume kwa namna tofauti tofauti.
Wanyama hawa hawatumiki kama tiba persee ila wanatumika kama lishe maalumu kwa watu wanao tumia tiba asilia za tatizo la nguvu za kiume .
Matumizi ya mnyama huyu si tu kwa wanaume wenye tatizo la ukosefu na ama upungufu wa nguvu za kiume, bali hata kwa wanaume ambao hawana tatizo hilo lakini wanataka kuzitunza,kuzilinda na / ama kuziimarisha nguvu zao.
JINSI MBUZI WANAVYO TUMIKA KATIKA TIBA YA TATIZO LA UKOSEFU NA/ AMA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mbuzi anaweza kutumika kama sehemu ya tiba -lishe ama lishe maalumu kwa wanaume wanao sumbuliwa na tatizo la ukosefu na /ama upungufu wa nguvu za kiume kwa kufuata utaratibu ufuatao
A. MBUZI JIKE
Mahitaji
1. Lita moja ya maziwa ya mbuzi
2. Punje kumi na nne za tende au vijiko vikubwa vinne vya asali ya tende
3. Kijiko kimoja kikubwa cha unga wa hiriki (Unga wa hiriki unapatikana kwa kusaga hiriki. Kwa lugha nyingine, unga wa hiriki ni hiriki iliyo sagwa )
4. Vijiko viwili vidogo vya dawa asilia ya Jiko.
5. Kikombe cha maji ya moto au vuguvugu chenye ujazo wa mills 250.
Matayarisho
1. Changanya lita moja ya maziwa fresh ya mbuzi na punje kumi na nne za tende au changanya hiyo lita moja ya maziwa fresh ya mbuzi na vijiko vikubwa vinne vya asali ya tende. Tia kwenye chupa au chombo chochote kisafi na salama na ambacho unaweza kukitumia kuhifadhia, kisha koroga na uhifadhi ndani ya friji halafu acha mchanganyiko wako usiku kucha.
2. Ikifika asubuhi, changanya mchanganyiko huu na kijiko kimoja kikubwa cha hiriki iliyo sagwa, vijiko vitatu vya dawa ya jiko iliyo katika mfumo wa unga unga kisha koroga halafu gawanya dawa yako katika portion mbili zenye ujazo sawa.
MATUMIZI
Tumia kunywa lishe hii mara mbili kwa siku asubuhi na usiku na utafanya hivyo mara moja kwa wiki kwa wiki nne mfululizo. Hapa maana yake ndani ya mwezi mmoja, utatakiwa kuwa umetumia lishe hii mara nne tu.
JAMBO LA KUZINGATIA
Lishe hii inaenda sambamba na matumizi ya dawa asilia ya jiko. Unashauriwa kutumia lishe hii katika kipindi ambacho unatumia jiko pia. Ingawa lishe hii utakuwa ukiitumia mara moja kwa wiki kwa muda wa wiki nne, dawa ya jiko utatakiwa kuitumia mara mbili kwa siku kwa muda wa siku thelathini.
B: MBUZI DUME
Sehemu ya mbuzi dume inayo tumika katika tiba dhidi ya tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume ni KORODANI, NYAMA (HUSUSANI NYAMA YA MBAVU AU SHINGO ) pamoja na DHAKARI.
MAHITAJI
i. Korodani za mbuzi zilizo
ii. Pink salt ( Chumvi ya pink ) kijiko kidogo kimoja
iii. Dawa ya jiko ( Eidha iliyo sagwa katika unga au iliyo katika mfumo wa mizizi )
iv. Sufuria lenye uwezo wa kubeba kuanzia lita tatu za maji na kuendelea
v. Maji lita moja na nusu
MATAYARISHO
i. Chukua korodani za mbuzi kisha tia kwenye sufuria
ii. Ongeza maji lita moja na nusu
iii.Ongeza pink salt kijiko kidogo kimoja
iv.Ongeza vijiko vitatu vidogo vya dawa ya jiko iliyo katika mfumo wa unga au kipande kimoja cha mzizi wa jiko.
v.Chemsha mchanganyiko wako hadi utokote.
vi.Ipua, chuja makapi weka pembeni ubaki na supu yako.
MATUMIZI
Tumia kunywa supu yako hii mara moja tu.
JAMBO LA KUZINGATIA
Lishe hii inaenda sambamba na matumizi ya dawa asilia ya jiko. Unashauriwa kutumia lishe hii katika kipindi ambacho unatumia jiko pia. Ingawa lishe hii utakuwa ukiitumia mara moja kwa wiki kwa muda wa wiki nne, dawa ya jiko utatakiwa kuitumia mara mbili kwa siku kwa muda wa siku thelathini.
Ama kwa upande wa DHAKARI ya mbuzi, jinsi inavyo tumika kama lishe maalumu kwa wanaume wenye tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume , matayarisho yake yapo kama ifuatavyo :
i. Dhakari za mbuzi kuanzia tatu hadi tano ambazo zimenyonyolewa tayari( Hizi unaweza kuzipata ukienda machinjioni )
ii. Pink salt nusu kijiko kidogo
iii.Vijiko vudogo viwili vya dawa ya jiko iliyo katika unga.
JINSI YA KUTAYARISHA
Kausha dhakari zako kwenye mwanga wa jua. Zikisha kauka, zisage hadi zisagike kisha changanya na nusu kijiko cha pink salt, na vijiko viwili vidogo vya daw ya jiko iliyo katika ungaunga kisha tumia kulamba mchanganyiko wako . Utakuwa unafanya hivyo mara mbili kwa siku asubuhi na jioni. Utafanya hivyo hadi mchanganyiko wako utakapo kamilika.
NYAMA YA BEBERU ( NYAMA YA MBUZI DUME ) KAMA LISHE MAALUMU KWA WANAUME WENYE TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.
Jinsi ya kutumia nyama ya beberu la mbuzi kama lishe maalumu kwa mwanaume mwenye tatizo la ukosefu na / ama upungufu wa nguvu za kiume, fuata maelekezo yafuatayo :
Mahitaji
i. Nyama ya beberu iliyo chomwa, kiasi cha nusu kilo au kilo moja kulingana na uwezo wako wa kula.
ii. Nusu lita ya asali ya tende au robo kilo ya tende
iii.Pink salt kijiko kidogo kimoja
iv. Vijiko vidogo vitatu vya dawa ya jiko.
MATAYARISHO
Changanya kijiko kimoja kidogo cha pink salt kwenye nusu lita ya asali ya tende kisha ongeza ndani yake vijiko vidogo vitatu vya dawa ya jiko halafu koroga hadi vichangamane.
MATUMIZI
Chukua kipande cha nyama yako ya mbuzi, chovya kwenye mchanganyiko wako kisha kula hadi utakapo maliza vipande vyako vyote vya nyama. Utafanya hivyo mara moja tu inatosha sana.
AU KAMA HAUNA ASALI YA TENDE
Changanya pink salt na dawa ya jiko, halafu chukua kipande chako cha nyama, chovya kwenye mchanganyiko wa jiko na pink salt halafu kula pamoja na punje moja ya tende(Naposema punje simaanishi mbegu, namaanisha ile sehemu ya tende inayo faa kuliwa )
Utafanya hivyo hadi kiasi chote cha tende kitakapo isha. Na utafanya hivyo mara moja tu.
JIANDAE KUSOMA MAKALA NYINGINGE KUHUSU AINA MBALIMBALI ZA LISHE MAALUMU KWA WANAUME WENYE TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA DUKA LA NEEMA HERBALIST LILILOPO UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM, JIRANI NA SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING NYUMA YA JENGO LA UBUNGO PLAZA.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0766 53 83 84.
NA KWA HABARI NA MAKALA MBALIMBALI KUHUSU TIBA ASILIA. TUTEMBELEE KILA SIKU KUPITIA BLOGU YETU : www.neemaherbalist.blogspot.com