VIDEO;NAIBU WAZIRI WA MAJI ALICHOKIZUNGUMZA KWENYE MRADI WA MAJI MUSOMA

Naibu wa ziwa maji mhandisi Isaack kamwelwe ameridhishwa na mradi wa maji wa Bukanga ulioko mjini musoma mkoani mara ambapo unatarajiwa kuwahudumia wakazi lakimoja nanusu wilayani humo na maeneo ya jirani na wilaya hiyo.
kikagua mradi huo ambao umetumia shilingi milioni Bilioni 45 mhandisi isaack amesema sasa kero ya maji wilayani humo inaenda kuisha baada ya kukamilika kwa mradi huo kwa aslimia miamoja.
mradi wa maji Bukanga umetekelezwa kwa ilani ya chama cha mapindu ambapo ulianza kujengwa mwaka 2012 ambapo unauwezo wa kuzalisha lita milioni 36 kwa siku huku musoma uhitaji wake wa maji ni milioni 20 tu
MSIKILIZE MHANDISI AKIELEZEA HAPO CHINI