PICHA NA MATUKIO YA ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI, MKOANI MARA


kushoto ni Naibu waziri wa maji na umwagiliaji mhandisi Isaack kamwelwe akisaini kitabu cha wageni katikati ni Chief wanzagi na kulia ni mkurugenzi wa mamlaka ya maji musoma (Muwasa) Baada ya kutembelea kwa baba wa taifa.


alievalia shati nyeupe Nina ibu waziri wa maji na umwagiliaji isaack kamwelwe akiteta jambo na mmoja ya wanahabari

mkurugenzi wa muwasa Bwana Gantala akimuonesha Naibu waziri wa maji mmoja ya mitambo ambayo imefungwa katika eneo hilo inavyoweza kufanya kazi.

mitambo ambayo imefungwa katika mradi huo wa maji

Hili ni mmoja ya bomba ambayo iko katika kituo cha maji cha mugango kiabakari ambayo inategemewe kusambaza maji pia kutoka kiabakari hadi BUTAIAMA.

Baadhi ya viongozi wakiingia ktika mashine ya maji mugango kuangalia mashine zilizomo ambazo zilifungwa mnamo mwaka 1974












