VIDEO NA MAKALIBLOG;TUME YATEUA MBUNGE NA MADIWANI WATATU (3) WANAWAKE WA VITI MAALUM.MTIZAME MKURUGEZI WATUME YA TAIFA YA UCHAGUZI ;

Mkurugenzi wa tume ya taiafa ya Uchaguzi.
Na makaliblog;Dar es salaam.
TumeyaTaifa ya Uchaguzi imemteua Ndugu Rehema Juma Migilla kuwa MbungewaViti Maalum katika Bunge la Jamhuriya Muunganowa Tanzaniakupiti Chama Cha Wananchi (CUF) ,kujaza nafasi iliyo achwawazi na Ndugu Hindu Hamisi Mwenda aliyefariki dunia Septemba 1, 2017.
Akizungumziauteuzihuo, Mkurugenziwa Uchaguziwa Tumeya Taifaya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani amesema kuwa Tume imemteua Ndugu RehemaJuma Migilla mara baada ya kupokea taarifa ya kuwepo kwanafasi wazi ya Mbunge wa Viti Maalum kutoka Spikawa Bunge la Jamhuriya Muunganowa Tanzania.

Amesema kwamujibu wakifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Suraya 343 Mhe. Spika aliitaarifu Tumeya Taifaya Uchaguzi juukuwepo kwanafasi wazi yambunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Wananchi CUF baada ya aliyeteuliwa kuwa Mbungewa Viti Malumkupitia chama cha CUF Ndugu Hindu Hamis Mwenda kufariki dunia.

Katika hatua nyingine Mkurugenzi huyo amesema kuwaTumeya Taifaya Uchaguzi kwamujibu wakifungu cha 86 A (8) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa imewateua Madiwani Wanawakewa Viti Maalum watatu (3)kujazanafa si wazi zama diwani katika Halmashauri tatuza Tanzania Bara.

Madiwani walioteuliwa ni Ndugu Jane I. Chungwa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Itigikupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Rosana S. Mwinyi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Bahi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Ndugu Pili M.Mfaume kupitia Chama Cha Wananchi CUF kutoka HalmashauriyaTemeke.
Amesema uteuz I huo umefanyika baada ya Tume kupokea taarifa kutoka kwa Waziri mwenye dhamana ya Serikaliza Mitaaa mbaye kwa kuzingatia masharti yakifungu cha 13 (1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Suraya 292 aliitarifu Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu uwepo wanafasi wazi zama diwani.MWISHO.
Powered by Blogger.