TUME YATEUA MBUNGE NA MADIWANI WATATU (3) WANAWAKE WA VITI MAALUM.
![]() |
| mkurugenzi wa tume ya uchaguzi |
Na makaliblog;Dar es salaam.
TumeyaTaifayaUchaguziimemteuaNduguRehemaJumaMigillakuwaMbungewaVitiMaalumkatika Bunge la JamhuriyaMuunganowa TanzaniakupitiChama Cha Wananchi (CUF) ,kujazanafasiiliyoachwawazinaNdugu Hindu HamisiMwendaaliyefarikiduniaSeptemba 1, 2017.
Akizungumziauteuzihuo, MkurugenziwaUchaguziwaTumeyaTaifayaUchaguziBw. KailimaRamadhaniamesemakuwaTumeimemteuaNduguRehemaJumaMigillamarabaadayakupokeataarifayakuwepokwanafasiwaziyaMbungewaVitiMaalumkutokaSpikawa Bunge la JamhuriyaMuunganowa Tanzania.
Amesema kwamujibuwakifungu cha 37 (3) cha SheriayaTaifayaUchaguzi, Suraya 343 Mhe. SpikaaliitaarifuTumeyaTaifayaUchaguzijuukuwepokwanafasiwaziyambungewaVitiMaalumkupitia Chama cha Wananchi CUF baadayaaliyeteuliwakuwaMbungewaVitiMalumkupitiachama cha CUF Ndugu Hindu HamisMwendakufarikidunia.
KatikahatuanyingineMkurugenzihuyoamesemakuwaTumeyaTaifayaUchaguzikwamujibuwakifungu cha 86 A (8) cha SheriayaUchaguziyaSerikalizaMitaaimewateuaMadiwaniWanawakewaVitiMaalumwatatu (3)kujazanafasiwazizamadiwanikatikaHalmashauritatuza Tanzania Bara.
MadiwaniwalioteuliwaniNdugu Jane I. ChungwakutokaHalmashauriyaWilayayaItigikupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), NduguRosana S. MwinyikutokaHalmashauriyaWilayayaBahikupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) naNduguPiliM.Mfaumekupitia Chama Cha Wananchi CUF kutokaHalmashauriyaTemeke.
Amesema uteuzihuoumefanyikabaadayaTumekupokeataarifakutokakwaWazirimwenyedhamanayaSerikalizaMitaaambayekwakuzingatiamashartiyakifungu cha 13 (1) cha SheriayaUchaguziyaSerikalizaMitaa, Suraya 292 aliitarifuTumeyaTaifayaUchaguzikuhusuuwepowanafasiwazizamadiwani.
MWISHO.
